The Art of LOVE sometimes huwa naongelea LOVE haina maana mimi ni Bingwa wa Mapenzi hapana ila nimepitia matatizo makubwa sana in my life yanayohusu Mapenzi kwa sababu ya Moyo wangu kuwa very soft on Mapenzi that NIMEUMIZWA SANA na baadhi ya niliowahi kuwapenda since nilipojifunza ku date lakini the experiences has made me Smart and Strong na the best lesson ni Kupenda kwa kutumia Moyo na Akili na the most important ni Kuushinda Moyo when the reality demands that …like unapompenda Mbebezz make sure naye anakupenda kuepuka kuingia kwenye One Way Street Love yaani wewe unatoa tu mapenzi but nothing in return cause Mapenzi yanatakiwa kuwa TWO STREET yaani Give and Receive kama hakuna hiyo TOKA kwenye hayo mapenzi HARAKA SANA…kuna dalili za aina nyingi sana na zenye maana mbali mbali katika Mapenzi ambazo unayempenda hahitaji kusema ila wewe unatakiwa kuzisoma na kupambana na Moyo kabla hujaumia sana kwa mfano unayempenda ni wewe tu unampigia simu yeye hakupigii ila ana excuses nyingi za kutokupigia ujue hamna kitu hapo ondoka au unayempenda anaogopa kukutambulisha kwa wanaomzunguka au anaogopa hata usiende kazini kwake au anapoishi kwa mfano ukimpeleka anapoishi anasisitiza umshushe kabla hamjafika maana yake ni kwamba kuna mwingine ambayo huwa anamfikisha anapoishi kabisa au hataki kabisa upige naye picha ujue kuna mwingine anamuogopa…now kinachotusumbua Wabongo wengi sana sio kujua hizi dalili hapana ni kuufanyia kazi ukweli baada ya kuugundua binafsi I am the master wa kuuuona ukweli na kuukubali na kufanya maamuzi magumu hapo hapo ingawa maamuzi ya kuushinda moyo huwa yana maumivu sana niamini kwamba as long as unaamua kutokana na the TRUTH huwa hayadumu sana Moyoni na hasa kama binadam umejifunza kuishi kwa Sheria zako binafsi like me …kwenye maisha yangu nilijipangia kwamba sitakuja ku share na mpenzi wangu knowingly NEVER yaani nakupenda halafu nigundue kumbe una mtu pembeni maana yake ni kwamba sasa tupo 3 kwenye relationship au marriage HAPANA nikigundua tu hapo hapo its over …now recovery process binadam tunatofautiana sana kuna wanao hitaji Mwaka ku overcome na kuna kama mimi siku moja tu inanitosha..PART TWO…INAENDELEA!