Recovery process ya Maumivu ya Mapenzi inaweza ikawa ngumu sana hasa kwa binadam ambaye hajui how to face the Truth binafsi experiences za kuumizwa umizwa sana in my life zimenifundisha kuwa na a hard heart na muhimu KUKUBALI UKWELI HARAKA NA KUUFANYIA KAZI na to move on kwa mfano kwa nini mpenzi ana mtu lakini bado pia anaku entertain na wewe ina maana una skills ambazo anazipenda in you lakini aliyenaye hana na she/he admires that in you now believe me siku zote the idea huwa anampenda Mume wa Mtu mwenye pesa lakini anataka pia kuwa karibu na AKILI ZANGU KUBWA na FAME sasa ukiwagundua ujanja wao huwa wanakimbilia cheap excuse that “WE CAN BE FRIENDS” au “SIKU ZOTE NILIKUWA NINAJUA WE ARE JUST FRIENDS” ….guys tusidanganyane kwa Wazungu inawezekana kuwa Friends cause hawana emotions sisi Wabongo haiwezekani bado hatujafikia ustaarabu wa kulelewa kwenye ma Day Care Centres infact Mwanamke mbongo anapolilia “WE CAN JUST BE FRIENDS” ni anajaribu ku hold on to your skills ambazo anazipenda in you na ANAOGOPA KUKUPOTEZA cause kule upande mwingine anachopata ni pesa tu sio mapenzi anajua mapenzi anayoyahitaji yapo kwako ila Security yake ya maisha mazuri ipo kule kwa Mume wa Mtu ambaye hawezi kuonekana naye wala kumpost instagram wala kuwa naye in the Public ndio maana utawaona Mabebezz wengi hapa mjini wapo wapo tu ila wapo vizuri ukiwatongoza wanaruka mile 10 kuwa hawataki relationships wanapigania maisha na their financial future.hahahaha.au sometimes wataruka ruka na wewe kidogo halafu watabadilika ghafla na kudai they are dating someone I just want to be friends ujue pembeni kuna Mume wa Mtu ambaye tayari keshapata habari kuwa upo kaja juu na kutishia kukata pesa hapo hapo Mwanamke atabadilika na kuwa kama Chui uje tayari upo in what kind of situation KIMBIA HARAKA achana naye …mapenzi ni raha na yanatakiwa kuwa a medicine kwa binadam akiwa nayo like mapenzi yanaweza kukufanya ukawa Tajiri hata kama huna pesa cause unapendana na mpenzi ambaye mpo level moja anakupenda na unampenda hakuna reservations niamini utakuwa happy tu …Mungu hawezi kukupa mpenzi mpya wa size yako kama hutaki kukubali kutoka kwenye bad situation! ….PART 3..Itaendelea!