Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE Augustine Mrema amefariki, ambapo baadaye Mrema mwenyewe aliibuka na kulaaani taarifa hizo na kusema atawachukulia hatua za kisheria waliomzushia habari hizo.

Kutokana na hatua hiyo leo January 12 2018 Mrema ameenda katika kituo cha Polisi cha Oysterbay Dar es salaam kwa ajili ya kushtaki aliyemzushia taarifa hizo ili akamatwe.

”Mimi naiomba Polisi, naiomba TCRA wachukue hatua kali sana, nadai fidia ya Bil 20 na haitapungua hata mia ili kuwashikisha adabu, kuwakomesha watu wasio na heshima kwa maisha ya watu wengine’- Mrema