Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharib Bilal wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkta Salim Ahmde Salim wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Baadhi ya wake wa viongozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Aman leo mjini Zanzibar.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Fatma Karume wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana naRais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.