Ni haki yangu ya Kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu kifo cha msichana Jana na pia ni haki ya kila Mwananchi kutoa maoni yake na ninajua kua wingi wa watu upande mmoja haina maana kua wana hoja ndio maana Mungu ni mmoja tu na Rais ni mmoja tu ingekua wengi ndio wenye akili au Hoja Mungu wangekua wengi tungechagua Maraisi wengi kutawala Awamu moja …ninarudia tena kwamba kifo cha Msichana kimetokana na Fujo zilizoanzishwa na wafuasi wa Chama kimoja maarufu cha Upizani ambao walishajua kua hawana uwezo wa kushinda so Kiongozi wao akaamua kuwatega Polisi Mtego ambao walishaufanya mara nyingi huko nyuma wa kuwafanyia fujo Polisi kwa makusudi ili wawalazimishe Polisi kutumia Risasi za kweli na matokeo yakawa kama yalivyokua ili Social Media igeuke kilio bdala ya CCM kushangilia ushindi wetu ..na cha kusikitisha ni kweli wamefanikiwa kwa kiasi fulani maana humu Instagram kuna wana CCM kabisa walioingia huu mtego na kuandika maneno ya ajabu sana as if Polisi wetu sio wanaowalinda kila siku ..nimeona matusi ya ajabu as if yanaweza kumrudisha Marehemu ….on a serious note ninamshamngaa sana Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini kwa sababu zipo Sababu za kutosha za KUKIFUTA CHAMA KILICHOSHIRIKI HUU UPUUZI JANA na sababu kubwa ni moja tu sio mara yao ya kwanza nashangaa tutaendelea kuwalea mpaka lini?….NINARUDIA TENA MSAJILI WA VYAMA NCHINI FUTA HIKI CHAMA KWA WALIYOYAFANYA JANA WAMEJIFUTA WENYEWE ….eti tuna wanachi wajinga wanaodiriki hata kufananisha Tanzania na Iraq hivi wewe unajua kinachoendelea huko Iraq au umekaririshwa tu maneno? …Guys Tanzania ni yetu zote kama mnaona imewashindeni kuishi si mhame tu mtarudi ikiwa mnavyotaka badala ya watu wachache sana kutaka kutuharibia Amani ya Nchi kwa Ubinafsi wenu ….ENOUGH guys na mnatuchosha na kelele za Wolf! Wolf! kila siku hoja hamna tunaawaambia kila siku Instagram na Facebook hamna kura hamsikii mtaendelea kua Chama cha Instagram na Twitter tu mpaka mtakapo tia akili na kujikita mtaani kwa wananchi …..nitawashangaa sana Polisi wasipowakamata wote waliohusika na huu mtafaruku wa kupoteza uhai wa Msichana mbona Wahujumu Uchumi imewezekana hawa Wanasiasa Uchwara vipi? – le Mutuz