Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Kamanda wa Kinondoni Murilo Jumanne wamefika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa.