Sajenti aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, pamoja na kwamba miezi michache iliyopita alipata balaa baada ya ujauzito wake kutoka, lakini bado anaamini Mungu atamsaidia, atapata mwingine.“Ninamuomba sana Mungu anifanikishe tena kwani nimepanga lazima nimzalie Dullah (Makabila),” alisema Sajenti.

Sajenti aliongeza kuwa, Dullah anapenda watoto na hilo ndilo lililomhamasisha zaidi kutamani kumpatia mtoto.