Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wakazi wa Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam wakati apokuenda kusuluhisha mgogoro wa ardhi katika eneo hilo.

Wakazi wa Mbondole kata ya Msongola wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi.

Wakazi wa Mbondole wakimpokea Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi.

Wakazi wa Mbondole wakiwa na mabango wakati wa kumpokea Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi akikagua maeneo yaliyovamiwa katika eneo la Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi mhe. William Lukuvi akikagua maeneo yaliyovamiwa katika eneo la Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam

Baadhi ya nyumba zilizojengwa katika eneo la Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi akipata maelezo katika eneo la Mbondole kata ya Msongola wakati alipokuenda kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu sasa. (Picha zote na kitengo cha Mawasiliano Serikali Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi –WANMM)