Klabu ya Simba yaanika kikosi chake kitakacho ingia uwanjani hii leo kuivaa Gendarmerie katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika CAF.

Katika mchezo wa kwanza uliyopigwa jijini Dar es Salaam Simba SC ilichomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya Gendarmerie .