“MY AMERICAN EXPERIENCE” Wazungu walinifundisha tabia ya kujali sana wengine kwao mtu akiwa anakaribia kufa wanampa ushauri wanamsainisha makaratasi ya kumtoa viungo fulani mwilini mwake vije viwasaidie wengine wanaobaki ndio sababu inayonifanya niandike hii story nimesoma story za Maisha ya Mike Tyson mpaka Donald Trump vitabu vyao vilinisaidia sana sana cause hasa cha Tyson nilikuta ana mambo mengi aliyoyapitia niliyowahi kuyapitia so nikajifunza kua kumbe ninayoyapitia mimi sio wa kwanza nikakumbuka usemi wa Biblia kua “THERE IS NOTHING NEW UNDER THE EARTH”…niligundua mapema sana nikiwa mtoto ninasoma Kipa Imara Kanisani kua kuna Shetani in life ambaye ni kiumbe wa Mungu aliwahi kua Malaika wake namba moja akamuasi na kuondoka na Nguvu zake almost zote za Kimalaika ana uwezo wa kufanya mambo mengi kama Mungu lakini sio yote na nilishaamua kumuamini MUNGU toka nilipomaliza Kipa Imara ila nilikubali within nafsi yangu kua simjui Vizuri lakini nahitaji kumjua for my self ilkua ni ndoto yangu kubwa sana siku moja kumjua Mungu vizuri ..Mungu akanipatia hiyo nafasi nikiwa New York siku moja nikaamua kujiunga na Chuo cha Bible Study baada ya kumaliza Degree ya Political Science nilisoma kile Chuo kwa Miaka 2 by the time nimemaliza nilikua tayari namjua Mungu for my self …Mkuu wangu wa Chuo Joe Santos Mmarekani/Mbrazil ambaye mpaka leo ninawasiliana naye was amazed na maswali yangu nilikua na maswali mengi sana toka nikiwa mdogo so nilitaka kuhahakisha ninapata majibu kutoka kwenye Biblia ndio kwa mara ya kwanza nikajifunza Sheria muhimu sana ya Maisha yangu ambayo nina iishi mpaka leo ya “Matatizo mengi ya Binadam hujiletea mwenyewe” na infact 90% ni only 10% hua ni Natural Ptoblems na nikajifunza in life “TUNAVUNA TULICHOPANDA” nikajifunza in life “HAKUNA BINADAM ANAWEZA KUKUDHARAU NI MPAKA WEWE MWENYEWE UMRUHUSU” boom now I was ready kupigana na Maisha kivingine kabisa cause now nilijiamini kua namjua Mungu very closely hanidanganyi mtu tena …but nani wa kumuoa likaendelea kua ishu ingawa siku iruhusu kunisumbua cause nilikua ninaendelea na Dating lakini wadada wa Kimarekani tu! Nilikua nawaogopa sana Wabongo hahahaha! …ITAENDELEA!

SHARE
Previous article
Next article