Tanzia

Nahodha wa Yanga Sc Nadir Haroub amepata msiba wa mtoto wake Anwar Nadir Haroub aliefariki alfajiri ya leo kwenye hospitali ya Muimbili.
Mtoto alikuwa akisumbuliwa na tatizo la damu,alikuwa na umri wa miezi miwili na nimzaliwa wa tatu kwenye familia ya Nadir.

MWENYENZI MUNGU AMREHEMU MTOTO WETU.