MREMBO wa Bongo Muvi, Kajala Masanja amefunguka kuwa hakutelekeza kampuni yake ya filamu bali alikuwa bize na shughuli mbalimbali zisizohusu filamu.

Akizungumza na gazeti hili, Kajala alisema kuna shughuli nyingi za nje ya filamu alizokuwa akizifanya na kumuingizia kipato na kusababisha aipe kisogo kampuni yake kwa muda lakini kwa sasa ni wakati wa kuifufua kampuni yake ya Kay Internment.
“Nilisimama kidogo lakini kwa sasa nimeamua kurudisha mapenzi yangu kwenye ofisi yangu