Baada ya kuwatoa St. Loius ya Shelisheli Yanga sasa itamvaa Township Rollers ya Botswana ambayo ilifanikiwa kuitupilia mbali El Merrikh ya huko Sudan. Mechi ya awali Rollers walishinda 3-0 na mechi ya marudiano El Merrikh walishinda goli 2 kwa 1.