MY AMERICAN EXPERIENCE” Hatimaye Msichana akaja kutoka Belgium alikokua anafanya kazi akakaa siku 10 ninakumbuka siku ya kuondoka kurudi Belgium alikua analia kwamba anataka kubaki I was like no mpaka tufunge Ndoa na baadaye kweli tulifunga Ndoa ambayo nilitumia pesa zangu kulipia Gharama zote za Harusi ilinifanya nipunguze kiasi kikubwa cha my Savings lakini sikujali cause nilijiambia harusi ni mara moja tu in life SIKUMCHANGISHA MTU hata senti moja mke alikua ameacha kazi yake ya Ubalozini Belgium akaja kua jobless kwangu ilimchukua Miaka 5 kufanikiwa kupata kazi tena katika hii Miaka 5 nilikua ninapigana kutunza mke na Watoto 2 peke yangu lakini maisha yalikwenda sawa…now nilikua nimejitenga sana na Wabongo ambao waliposikia nimeoa Mbongo walishitushwa sana tena the fact ya Mbongo wasiyemjua lakini mioyoni mwao walifurahi sana maana walijua kua mimi ni binadam mgumu sana kuingilika so watamtumia mke wangu I was very protective of my Wife katika Miaka 15 ya Ndoa nilikua namheshimu sana mke wangu that I NEVER CHEATED …
ninarudia kwamba in 15 years of my marriage I NEVER CHEATED nilidhani kwamba mimi ni binadam mpungufu kama wengine wote lakini atleast nijikaze nisi cheat ili Mke wangu atakapokumbuka kua sijam cheat atanisamehe mapungufu yangu mengine ya Kibinadam cause hata mimi nilimuambia the same kua as long as hamna cheating from her nipo tayari kuishi na mapungufu yake yote mengine lakini sio Cheating …halafu nilijiepusha kabisa kumuongelea negatively my wife so Wabongo wote walikua wanajua kua sikua na huo muda wa kumponda mke wangu kama wengine wengi walivyokua wanafanya unakuta mke anamponda mume na mume anamponda mke lakini then unawakuta pamoja ilikua inanishangaza sana ..now ndoa was great mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili wa Kike then siku moja ikatokea the unthinkable mtihani mzito ambao sijausahau mpaka leo kwa sababu ndoa yangu ilikua ndio mfano kwa kila Mbongo pale New York nilikua nampenda sana my Wife cause I felt ndiye binadam pekee niliyenaye maishani mwangu na angalau NINAYEMUAMINI kidogo maisha yalikua yamenifundisha kutomuamini mtu furaha ya ndoa yangu nilijua ilikua ni maudhi sana kwa wengine ila sikujua…ITAENDELEA!

SHARE
Previous article
Next article