Ligi kuu nchini uingereza itaendelea tena kesho kwa michezo saba katika viwanja tofauti tofauti kama habari picha inavyo onyesha hapo.

Ligi zingine pia kama La Liga, Bundesliga na French Ligi 1 pia zitaendelea kutimua vumbi