Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata a
siwaletee wakwe vijuso.

Diamond katoa rai hiyo kwa watoto wake hao ambao amezaa na wanawake wawili tofauti ambao ni Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady, na Daylan (AbdulLatif) aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Ikiwa bado siku moja iwe siku ya Wapenda( Valentine Day) Diamond na Hamisa walifikia makubaliano ya kumlea na kumuhuduamia mtoto wao wa kiume Dalyna, huku siku ya Valentine iligeuka mbawa kwa Diamond baada ya kumwaga rasmi na Zari The Boss Lady chanzo kikwa ni kutokuwa muwaminifu katika mapenzi yao.