Baada ya staa mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya wengi tunamfahamu kamaAY kutoa mahari nchini Rwanda siku ya February 10,2018 ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy na mastaa wengi kutoa pongezi nyingi kwake kwa kufanya hivyo.

Leo February 24,2018 hatimaye msanii huyo amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa miaka mingi Remy na hii imethibitishwa kupitia picha zinazosambaa katika mitandao ya kijamii.