PART 70:- “MY AMERICAN EXPERIENCE” Baada ya kuondoka kwake tu my ex siku moja ofisini kwangu akaja mtu aliyejitambulisha kua ni Mwanasheria wake akasema kamtuma tupange namna ya kugawana Mali zangu hasa Shamba na Nyumba yangu kule Kinyerezi I almost fainted WHAAAT? nikamuambia yule Mwanasheria arudi kesho yake tuongee alipokuja nikamuwekea Makaratasi ya Mali zangu zote mezani na kumuomba anionyeshe ipi inayo onyesha mimi na yeye tunamiliki Mali zangu pamoja? nikamuonyesha Mlango alioingilia kua siku akirudi tena ofisini kwangu nitampa kipigo cha mbwa mwizi jinsi nilivyokua nimemchenjia ujumbe ulifika hakuwahi kurudi tena …nilijua hasira ya my ex kushindwa kunipata kwa kuwatumia watoto kitawaka moto kweli alipofika tu USA akaanza matusi mapya ya kutisha hasa kwa Marehemu Mama yangu alitukana hasa sikua na wasi wasi cause asingefanya hivyo nisingejua kua nimempata at her games ..kinachomuumiza sana ni pesa anapenda pesa na pesa anazotumia sana ni za biashara ambazo yeye alikua amepanga kuzitumia kujifanyia mambo yake binafsi kashindwa cause nilimuwahi nikakimbia …hahahaha…Guys amkeni usingizini ninayoyasema hapa huenda yanakukuta now au yatakukuta mbele ya safari usikubali kuangamizwa na Mwanamke mjinga kwa kisingizio cha maadili au Uanamme huwezi kua Mwanaume Mungu anayetaka uwe kama hauna Amani kwa sababu ya mke wako au mpenzi wako …NA KUMBUKA SIKU ZOTE UKIONA MPENZI WAKO KICHWA KINAMUOTA MAPEMBE UJUE ANA SPARE TAYARI ….dawa ya Mwanamke mjinga ni kumuwacha hapo hapo au utaumia na ukimuwacha usiangalie nyuma tena utaumia na hasa OGOPA MWANAMKE MWENYE TAMAA YA MALI na OVER AMBITIONS huwa hawajui wanalolifanya ingawa wao hujifanya wanajua sana utawasikia ..I WANT TO BE FINANCIALLY SECURED ukisikia Mwanamke anaimba hizi nyimbo kimbia utaumia …imenichukua Miaka 4 ku overcome Completely yote niliyopitia kwenye ndoa …yakikukuta tafuta ushauri usijifanye Mwanaume sana utakufa sio wanaume wote wapo kama mimi ambaye ninaweza kubeba maumivu bila kulia lia nikijua kua nitayavuka na ni muhimu kuyapitia for my own good….leo nipo tayari kuoa tena siogopi cause Mwanamke mmoja tu hawezi kunifanya kuacha kupenda wapo wanawake wazuri wa roho na tabia! MWISHO!

SHARE
Previous article
Next article