PART 71:- “MY AMERICAN EXPERIENCE” Again kuna Groups za Wasichana wameniomba nitoe neno kuhusu wao na the Experience …well I am not a God au Doctor ila may be from my Experience tumefikia Dunia ambayo Wasichana wengi wanaishi kwa kuongozwa na wengine na hasa Social Media unakuta Msichana anajiita Analicious au JaneInternational au BossladyAsha ok guys ukishajiingiza hiyo Avenue ina maana unapotea kwa sababu wanaofanya hivyo na unaowaiga huwajui vizuri Social Media ni uwanja wa biashara kwanza na ni Uwanja wa Movie kama hulijui hilo ujue WAFWA 99% ya mambo ya Instagram ni Cinema kama mpaka leo hujui hilo WAFWAZZS now huwezi kucheza Cinema bila ya kua na jina maalum ndio maana ya hayo majina ndio maana hujawahi kusikia Mabosslady wanaolewa ingekua kweli majuzi AY angeoa hao MaInternational au Malicious a serious decent woman hawezi kujiita hayo majina unless anafanya biashara tu humu Social Media now huu unatakiwa kua ujumbe kwa Wanaume zaidi ila kwa wanawake take a note …nimeona Wanawake wengi wakibabaika na Mwanaume anayeishi Majuu ok anaweza kukuchukua mkaenda kuishi Majuu na ukamkana Mwanaume wako wa siku zote Bongo kisa jamaa katoka Majuu guys utakuja kulia machozi ya damu cause Mwanaume mwenye maisha mazuri Majuu huwa most of the times wanaoa huko huko Majuu ni vigumu sana kuja kuoa Bongo now kumbuka Wanawake wa kuwachezea Majuu hamna so siku mkihamia Bongo ujue ndoa itaisha tu cause Bongo wabebezz ni wabure sana ..na kama mume wako anakuja kuja sana likizo Bongo ujue ana mbebezz huku …now Mwanamke ni lazima uwe na msimamo wako sio kuendeshwa na wengine Mwanamke lazima ujitegemee uwe na Source Of Income ambayo ni decent kama umegundua siku hizi wanawake wengi wanao olewa ni wale tu wenye stable Source of Income inakuongeza value Mwanamke …Mwanamke jitambue ujue thamani yako kiuhalisia au utachezewa tu na Wanaume kwa sababu unajifanya kua na thamani ambayo huna au hujui tu thamani yako …tatizo namba moja la wanawake wa bongo ni marafiki na washauri wenu wengi huwa ni Vipofu wanawapoteza ingawa na wengi wenu hamuwezi kuishi bila washauri ..inanishangaza sana Mwanamke anapotegemea kuishi kwa mawazo ya wengine utawasikia “WATU WATANIONAJE?”

SHARE
Previous article
Next article