LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of After the Maths Picha yangu ya kwanza siku moja baada ya kurudi Bongo from USA at the home of my Dad Seaview …hahaha …well guys the Majuu theory ni kabla ya kwenda think kwanza unataka kwenda kufanya nini? Halafu fanya utafiti sana kuhusu waliowahi kwenda na wamerudi wapoje kimaisha? kwa mfano mimi nikiwa Ubahariani nilikua kila siku ninajiuliza swali la msingi ni nani back in Bongo ninayemjua ambaye aliwahi kua Baharia ana a solid serious life kama mfano kwa Mabaharia wengine? on a serious note alikua ni Marehemu Huseein Machen tu hapa mjini now can U serious say alienda Ubahariani akarudi kwa kutumia tu Ubaharia akawa na maisha mazuri aliyokua nayo? HAPANA..now hili swali lilinifanya nianze kukosa interest ya kuendelea na Ubaharia leo marafiki zangu wengi ambao hawakuliona hilo mapema wakakalia Ubaharia huwa wanapitia ofisini kwangu kila siku kuomba nauli huwa nasikia kulia kwa sababu almost wote walirudi na Materialistic Stuff lakini Masikini ya Mungu hawakurudi na AKILI KUBWAZ mali zote walizorudi nazo zikaishia kupotea now kumbuka kua tulikua wote majuu na mimi nilipokua nalipia Shule wao walikua wanatuma mali zao Bongo na honestly walikua wananicheka leo kama ni kucheka mimi natakiwa kuwacheka wao …guys pigana kua na akili zaidi pigana kupanuka akili in 6 years nilizokaa Bongo ninaonekana kama nilikua hapa hapa all my life ni kwa sababu tu ya AKILI tofauti niliyorudi nayo kutoka Majuu ambayo sikua nayo kabla ya kwenda …I am not perfect lakini I can defend maisha niliyonayo kuwa ni Comfortable na mazuri na ninayapenda sana na nisingekua nayo kama nisingeenda Majuu humu kwenye magorofa ninaishi na Wamiliki wakubwa wa Uchumi Tanzania the Indians na wananishawishi sana niwauzie my apartment wao wapo radhi kukuvua hizi nyumba za NHC hata kwa Tsh. 100M kusudi waishi Downtown karibu na the actions ninawaona marafiki zangu wengi wanaoishi Mbezi Beach na Boko ambao walifuata mkumbo tu kua kuishi huko ni Babu kubwa na ninajua kuna wanaoishi huko vizuri sana cause ilikua ni lazima wakaishi huko ..binadam mwenye AKILI KUBWA ni lazima uweze kusimama na kutetea maisha yako au anything in your life with convincing FACTS! – le Mutuz