Kupitia Ukurasa wa Instagram @uchebe1 apost Ua Jeusi kuashiria Hakuna Usalama wa Ndoa Yao.. Sambamba na Hilo Kumekuwa na Maneno /Rumors za hapa Na pale Kuwa wameachana… Vyanzo vyetu vinaendelea kuchimba Kuhusu Ndoa Hii… Kama ipo au Ishakufa.