Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Alfajiri saa 10:15 kuelekea nchini Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudio wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya timu ya Towship Rollers ya nchini humo,mchezo  utakaochezwa machi 17,2018.
Wachezaji wa Yanga waliopo kwenye msafara huo ni: 
1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili
3. Juma Abdul
4. Kelvin Yondani
5. Juma Saidi
6. Nadir Haroub
7. Pato Ngonyani
8. Obrey Chirwa
9. Papy Tshishimbi
10. Juma Mahadhi
11. Geophrey Mwashiuya
12. Gadiel Michael
13. Pius Buswita
14. Raphael Daudi
15. Ibrahim Ajibu
16. Haji Mwinyi
17. Yusufu Mhilu
18. Saidi Mussa
19. Thabani Kamusoko
20. Emanuel Martin
Mchezo wa awali uliochezwa jijini Dar es salaam Yanga ilipoteza kwa kufungwa magoli 2-1.