Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemteua Ammy Ninje kuwa Kocha wa muda wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes inayotarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Morocco na Msumbuji kabla ya kuwavaa DR Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu  (AFCON U20).
Ammy Ninje aliwahi kuwa kocha Wa timu ya Taifa Tanzania bara ( Kilimanjaro heroes )