Baada ya Kula Kipigo Kitakatifu Shilole Afunguka Mazito "Siku Moja Nitaongea Mazito na Kudai Talaka"
Msanii wa Bongo fleva Shilole amefunguka na kueleza chanzo cha kichapo kizito alichotembezewa na mumewe uchebe ambapo amedai kisa na mkasa ni yeye kucheza mziki na Soud Brown wa shilawadu  kwenye sherehe.
“Tena Soudy niache kabisa wewe ndio umefanya mpaka mimi nagombana na mume wangu eti uchebe anasema  wewe bwana wangu kweli? E ti siku ile kule Tabata tulivyokuwa tumekaa meza moja  eti kakasirika  tulivyokuwa tunacheza muziki  kwahiyo  ina maana  mimi nisicheze na mashabiki et!  Mimi sitaki lkuongea mambo menginenikaonekana mkorofi wa ajabu” alisema shilole wakati akihojiwa na Soudy Broun Wakati akihojiwa kwenye You Head.

Lakini Shilole alikiri kupigwa kama mtoto na Uchebe kiasi cha kufunga mtaa  hadi kupelekea shilole  kwenda kulala kwa marafiki zake  “Yaani Uchebe  amenipiga kama mtoto lakini haoni noma mimi mwanamke wa dunia nzima  kuna mambo mimi ntakuja kusema mazito alafu ndio ntadai talaka yangu