Lionel Messi amekuwa mchezaji wa pili kufikisha magoli 100 kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya, Cristiano Ronaldo ndo alikuwa wakwanza kufikisha idadi hiyo.. Messi amefanikiwa kufikisha idadi hiyo katika mpambano wa leo dhidi ya Chelsea ambapo Messi ameifungia klabu yake goli mbili nakuisaidia kudonga mbele hatua ya robo fainali katika klabu bingwa barani Ulaya….. Ronaldo aligikisha idadi hiyo akiwa na klabu ya madrid kwenye pambano la kwanza dhidi ya PSG tarehe 14/02/2018 ambapo ilimchukua mechi 144 kufikisha idadi hiyo na huku Messi ikimchukua michezo 123 kufikisha goli 100….Messi alifunga goli lake la kwanza kwenye klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Panathinaikos tarehe 02/09/2005 na kufikisha goli 50 dhidi ya Ac Milan tarehe 03/04/2012

UEFA Champions League top scorers (group stage to final only)
117: Cristiano Ronaldo (POR, Manchester United, Real Madrid)
100: Lionel Messi (ARG, Barcelona)
71: Raúl González (ESP, Real Madrid, Schalke)
56: Ruud van Nistelrooy (NED, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid)
53: Karim Benzema (FRA, Lyon, Real Madrid)
50: Thierry Henry (FRA, Monaco, Arsenal, Barcelona)
48: Zlatan Ibrahimović (SWE, Ajax, Juventus, Internazionale Milano, Barcelona, AC Milan, Paris Saint-Germain, Manchester United)
48: Andriy Shevchenko (UKR, Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea)
46: Filippo Inzaghi (ITA, Juventus, AC Milan)
45: Robert Lewandowski (POL, Dortmund, Bayern)

European Cup top scorers (all matches)
118: Cristiano Ronaldo (POR, Manchester United, Real Madrid)
100: Lionel Messi (ARG, Barcelona)
71: Raúl González (ESP, Real Madrid)
60: Ruud van Nistelrooy (NED, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid)
59: Andriy Shevchenko (UKR, Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea)