LIVE STRAIGHT TALK: The Art of Man Wabongo tunahitaji kuongeza somo la “MAPENZI” kwenye mfumo wetu wa Education ni somo dogo sana lakini linalimaliza Taifa letu it is destroying the Base of our Society I mean Wanaume wa Bongo tunajifanya Ubabe tu na Ujeuri lakini wengi wetu hili somo la Mapenzi limetushinda cause we are not being Bigger than Women kama Mungu anavyotarajia we cannot take care of our Women yaani on a very Serious Tone unakuta Mwanaume anamlalamikia Mwanamke guys we have a problem tena hili tatizo linatakiwa kujadiliwa on the National Level …Our Women are suffering kila kona iwe kwa Matajiri au kwa Masikini tabia za Wanaume wetu ni zile zile yaani almost kila Mwanaume Mbongo anaamini kwamba as long anafanya kazi that is all that matters Mwanamke ni Sex Object tu sio patner au Mpenzi Masikini ya Mungu wengi hata hawajui mapenzi ni nini matokeo ni Wanawake wengi wanaolalamika kila kona yaani Mwanaume wa Bongo anaamini yeye ku cheat its ok ila sio mke wake au mpenzi wake …guys nimesema mara nyingi na ninarudia ku cheat most of the times ni tamaa za Kibinadam mpenzi wako anaweza akaku cheat sio kwamba hakutaki tena hapana ni mapungufu tu kama wewe mpe space hakuna binadam anaweza kumchunga mwingine pigana Mwanamke akuamini na Mwanaume akuamini …yaani ndoa za Bongo Mwanamke kupigwa kila siku ni kawaida ninakutana nao kila siku I mean ndoa za Bongo Mwanamke kulala tofauti na Mme wake ni kawaida ni mambo ya ajabu sana sasa guy uanamme wako ni nini hasa kumpiga mke wako? unamuonea a Helpless Woman unampiga then tena unataka Mwili wake so idiotic …I mean nasikiaga Vyama vya Wanawake Bongo exactly huwa wanafanya nini huku Wanawake na Watoto wao wanateswa hivi na Wanaume? ..leo fuatilia hata hawa Vijana wetu wadogo unakuta Wasichana wanataka Wanaume Watuwazima cause Vijana wenzako ni Pasua Kichwa …Mwanaume anachukua mtoto anamficha ili mama yake aliyeachana naye asimuone seriously inaweza kumsaidia nini mtoto? ni Ujuha usio na mfano Wanaume tunatakiwa kuwaongoza Wanawake it does not matter Mwanaume lazima awe Mwanaume kwa kuonyesha Akili Kubwa na RESPONSIBILIT kuliko Mwanamke kama Mwanamke hafai MUWACHE! –¬†@lemutuz_superbrand