Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gariĀ  iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma

Muonekano wa gari alilokuwa amepanda Ngusa Izengo baada ya kuangukiwa na lori la mafuta.

Taswira nyingine ya ajali hiy

Askari wa usalama barabarani wakiwa eneo la ajali.