Image result for LEMA NA GAMBO 

Mbunge wa Arusha Mjini, Mheshimiwa GODBLESS LEMA na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bwana MRISHO GAMBO wamemaliza tofauti zao za muda mrefu.

Baadhi ya wananchi wamesema hatua hiyo itatoa fursa ya kuunganisha nguvu zao kushughulikia masuala ya maendeleo na kutatua kero zinazoikabili jamii.