Mwigizaji Monalisa Kutoka Bongo Movie Ameitoa Tanzania Kimasomaso Baada ya Kushinda Tuzo ya Best Female Movie Star in Africa huko Nchini Ghana…

Baada ya Kushinda Monalisa Ameandika yafuatayo kupitia Instagram:

From @monalisatz – Hahahaha Pozi LA Taifa.I had to do this kabisaaaaaaa
Tumeshindaaaaaaa narudi home na Tuzo za kutosha.Ahsante Watanzania,Nawapenda mno.