Mpenzi wake Elizabeth Michael ambaye ni Majizzo hakutaka siku hii ipite bila kuandika maneno ambayo ni ya muhimu kwa mpenzi wake katika siku hii ya kuzaliwa kwake ingawa yupo gerezani na maneno hayo ameyaandika kupitia ukurasa wake wa instagram.

Kuna siku yingi zinapita katika maisha ila leo ni siku muhimu, cha kwanza inaelezea kuwa wewe ni mtu muhimu kwenye maisha yako na pili endelea kuwa mtu muhimu kwangu, Nakupenda sana Mama G, Heri ya siku ya kuzaliwa”