Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Michael aka Lulu. Mastaa kibao wanampongeza muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua aliyekuwa muigizaji mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia.

Wema Sepetu
Today your Celebrating your birthday away from home, away from your loved ones. Dats a feeling no one can bare with.But Inshallah baby, In our prayers you will Live. Nakupenda na Nakumiss.

Happy Birthday Shikana Baby. @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial

Riyama Ally
HAPPY BIRTHDAY MY TOTO MOLA AKUJAALIE KILA LENYE KHERI NA WEWE AKUEPUSHE NA SHARI AKUJAALIE KILA UMUOMBACHO AKUPE KWA WAKATI AMIN AKUEKEE NURU KTK KIZA KINENE AMIN WATANZANIA NA MASHABIKI ZAKO WA WAKWELI TUNAKUOMBEA NA TUPO PAMOJA NA WEWE KIMAWAZO PIA KIFIKRA TUNAKUPENDA SANA SHIKANA WETU @elizabethmichaelofficial HAPPY BIRTHDAY MY QUEEN