The Art of Low Thinking hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama binadam kuwa mjinga cause anakuwa sawa na gunia la mchanga kwenye post ya Mshahara wa Kiongozi wa TFF niliweka mtego wa makusudi wa kuwanasa akili ndogo kwa kuandika kuhusu BIMA YA AFYA YA MODESTA NA WACHEZAJI WETU WA SOKA so wale washabiki maandazi wanaojifanyaga wanajua sana kuhusu Soka la Tanzania kuliko sisi wananchi wengine tusiojihusisha na Soka wakaingia mkenge na kukimbia hoja yangu ya Msingi ya kukataa Mishahara mikubwa TFF wakakimbilia hoja ya MODESTA wakiamini ni rahisi sana kuijibu mazafantazzz so foolish …wote mliojibu hiyo hoja ya TFF haihusiki na Bima za Afya za wachezaji wa Ligi ya Tanzania wote ni majuha mnahitaji kuepelekwa Shule za Soka mjifunze nani anatakiwa kuwajibika na Welfare za Wachezaji wa soka ni Chama cha Soka cha Taifa ndio wanaotakiwa kuwajibika kuhakikisha Wachezaji wana PESHION PACKAGE ambayo ina include BIMA YA AFYA ndivyo inavyofanyika Dunia nzima like Michael Jodarn analipwa Peshion yenye Bima ya Afya ndani yake na NBA Chama cha Basketball America sio Club ya Chicago Bulls aliyowahi kuichezea ….OJ Simpson analipiwa Bima ya Afya ndani ya Pensheni yake kutoka NFL Chama Cha American Football sio timu ya LA aliyowahi kuichezea akiwa mchezaji active …David Beckham analipiwa Bima ya Afya na Chama Cha Soka cha Uingereza sio Club ya Manchester aliyowahi kuichezea …TFF siku zote wanachukua makato katika malipo ya Wachezaji wa kulipwa wa Ligi kuu yale makato wanayoyachukua kutoka kwa kila malipo ya mchezaji yanatakiwa kuwekezwa kwa mujibu wa Sheria ya Taifa ambayo sijui kama Tanzania tunayo …yaani inatakiwa kuwa a MANDATE YA TAIFA inayoilazimisha TFF kuwa na kitengo maalum cha Pesheni ya Wachezaji wote waliowahi kucheza Ligi Kuu …ndio maana OJ Simpson na matatizo yote aliyokumbana nayo Kisheria kule USA bado mpaka leo anapokea USD $25K per Month ambazo hata alipokua jela zilikua zinaingia kama kawaida kwenye account yake kutoka na Sheria kuzilinda cause haziruhusiwi kuguswa na yoyote isipokua Mchezaji tu as long as yupo hai ….Tanzania hatuna hiyo Sheria ndio maana Viongozi wa Soka wanalipwa Mishahara mikubwa kuliko Wachezaji AIBU! – @lemutuz