Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akisoma dua ya kuliombea Bunge wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma


Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Joseph Kakunda akitolea ufafanuzi swala la mapato ya halmashauri kwa ajili ya kinamama na vijana wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma


Wageni mbalimbali wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma


Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiteta jambo na Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma