Waziri Jafo Amtaka Mkandarasi Kuvunja Jengo la Shule na Kujenga Upya

Waziri Ofisi Nchi Ya Rais Tamisemi Suleiman Jafo amewataka Wakandalasi wa Suma JKT wanaojenga Shule ya Sekondari Hombolo Kurudia kujenga Shule hiyo baada ya Kuijenga Chini ya Kiwango.

Jafo ametoa agizo madarasa hayo yaiwekewe madawati kwa milioni 20 hiyo ambayo ilitumika kwaajili ya kujenga shule hiyo kutokana ni ilikuwa ni mpango wa Serikali.

Hata hivyo Jafo amesema kuwa ujenzi huo ni mbovu na wanatakiwa kuvunja na kujenga upya katika kiwango cha fedha kilichotolewa.