Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti Wa CCM-Zanzibar- Rais Wa Zanzibar Dk. Shein Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaa