Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo May 25, 2018amemteua Khadija Issa Said kuwa Naibu Kamishna wa Mamalaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA)

Uteuzi wa Khadija Issa Said umeanza leo May 26, 2018.

Kabla hajateuliwa Khadija Issa Said alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Bima, Shirika la Bima Zanzibar.