Mtoto wa Diamond 'Tiffah Dangote Kuja  Mchongo Huu Kabambe

Mtoto wa Diamond Platnumz, Princess Tiffah huenda akarejea kwenye headlines kama ilivyokuwa hapo awali.

Tiffah kwa sasa yupo mbioni kuja wavuti yake kwa ajili ya kuweka vitu vyake kama bidhaa anazozitangaza kama balozi, video za kufurahisha pamoja na picha. Taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram imeeleza;.

princess_tiffahMy own website where you will be able to catch up on me as Latiffah the baby boss y’all know am a major brand kid ambassador, the lil madam, the lil DQ errr drama queen, my dog yes mineeeee forget what mama said that it’s for Nee🙄, Will be uploading my cute and funny videos once a week and lots of photos. Sum it up as Life of a lil madam.🤗. Website still under construction so bare with me for now…..

Princess Tiffah ni mtoto wa kwanza kwa Diamond Platnumz, binti huyo mrembo na wa pekee kutoka kwa Zari The Boss Lady ndiye mtoto anayeongoza kuwa na followers wengi katika mtandao wa Instagram akiwa anafuatiliwa na watu Milioni 1.8.