WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga, kupinduka.Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Korogwe.

Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.