A business meeting with Super Bilioneaz @jembenijembe & @officialdavismosha…ok guys kama kawa naomba kuliweka hili sawa I am a Businessman yaani mfanya Biashara kazi yangu ni kutangaza matangazo na a “MIDDLEMAN” ndizo biashara zinazoniweka hapa mjini na kati ya vyombo vyangu vya Biashara zangu ni pamoja na hii yaani my Instagram Page na for that ninamiliki Kampuni yangu ambayo ni Official and Legally Registered at “Brela” under the name of ….”BLOGU YA WANANCHI MEDIA COMPANY LIMITED” …nina ofisi za Kampuni yangu na Studio at Posta ya zamani Sokione Drive Tancot House 3 Floor ninao wafanyakazi ambao wananisaidia kuendesha kampuni yangu na ninaishi hapa hapa Downtown Jamhuri street katika 3 Bedrooms Apartment kwa yote ninaamini I am qualified kuitwa a Businessman by the Fact that siajiriwi na mtu ila ninajiajiri through Biashara zangu ….now jana nilipost makusudi kukutana na Mfanyabiashara Maarufu hapa nchini for a Business meeting ni post iliyowatoa mapovu watu wengi sana humu wanaojifanya wananijua …hahahaha …ndio maana leo nimemua kuweka ufafanuzi kwa sababu binadam anatokwa na mapovu kwa sababu 2 za msingi ….(1). Anajua ukweli lakini Wivu na Chuki pamoja na Umasikini unamfanya akatae ukweli …..au (2). Hajui ukweli na anaona aibu kuuliza au kujisema hajui ukweli maana atajulikana kuwa ni mjinga na yeye anataka kuonekana anazo akili ….hapa leo ninawasaidia Wajinga wasioelewa na wasiotaka kuuliza kwamba mimi ni a Businessman na kwenye maisha kuna Sheria ambayo sijaitunga mimi ya …NDEGE WA RANGI MOJA HURUKA PAMOJA ….yaani hawa wafanya Biashara wakubwa ambao ninakutana nao mara kwa mara wanakubali kukutana na mimi kwa sababu wanajua kuwa tupo kwenye shuguli moja kimaisha wao wapo juu sana mimi sipo mbali sana nawakimbilia …ni FACT kwamba I am businessman na ninapigana for the last 7 years nilizorudi Bongo na I am fine with where I am …nimegundua waliotokwa sana mapovu ni wafanyabiashara hasa za maduka ya nguo ujumbe wangu kwenu ni kwamba UKIONA UNAFANYA BIASHARA HAIKULIPI UJUE UPO KWENYE BIASHARA USIYOIJUA, BADILISHA kuliko kunikasirikia mimi U know! – @lemutuz_superbrand