Gigy Money Amchimba Mkwala Mzito Lynn "Naweza Kumzaa Huku Navuta Sigara Nikikukamata Kipigo"

Video Vixen na Msanii wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amemtangazia vita kwa kumchimba mkwara mzito video queen mwenzake Irene Charles ‘Lynn’ ambaye alijipatia umaarufu baada ya kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Gigy na Lynn wamekuwa wakirushiana maneno makali na kudaiwa kuwa walipigana klabu usiku wa weekend iliyopita.

Kupitia mitandao ya kijamii gigy money ameamua kumpa makavu Lynn kwa kuandika hivi “Siongei na mtoto mdogo ambaye naweza kumzaa huku navuta sigara nikikukamata kipigo, mimi sio mtoto mzuri yani nakuchapa ulizia CV zangu, mwanamke ujulikani mbele wap nyuma wap upo upo tu ntakufurahisha…… maraya mpya mjini”