Mama Mobetto  Atoboa Siri Nzito ya Mjengo wa Mwanaye  Alionunulia na Daimond "Daimond Anazo Fungua za Milango ya Mjengo Anakuja Muda Wowote"

Kwenye mitandao ya kijamii kuna trend nyumba ya kifahari ambayo inasemekana msanii Diamond Platnumz amemnunulia mzazi mwenzake Hamisa Mobetto.

Mama mzazi wa Hamissa mobetto ambaye anaishi katika mjengo huo  amethibitisha Daimondi kununua mjengo huo na kusema kuwa mwanaye ajanunulia hiyo nyumba bali aliyenunuliwa mjengo huo ni mjukuu wake Dylani ambaye ni mtoto wa Daimond na Hamissa.

“Hamissa Hajanunuliwa nyumba kanunuliwa Dylan ndo mwenyenyumba mimi nashukuru mungu na namshukuru mjukuu wangu kwa kuja kwenye maisha yetu kwani bila Dylan Tusingekuwa hapa kwakuwa yeye ndo chachu ya kila kitu” alisema mama mobetto.

Alipoulizwa kuhusu Daimond kufika katika mjengo huo alisema alishawahi kufika na muda wowote atakapotaka kufika atafika kwani hata baadhi ya funguo za mageti ya nyumba anazo