*KAGAME CUP 2018*

Leo Uwanja wa Uhuru kutakuwa na mechi moja Simba(Tanzania) vs Dakadaha(Somalia) Mechi itachezwa saa 8 Mchana na mchezo huu unachezwa saa 8 Mchana ili kupishana na ratiba ya Kombe la Dunia na kutoa fursa ya kutazama na kufuatilia Kagame Cup na Kombe la Dunia.

Azam Complex kutakuwa na mechi moja itakayoanza saa 10 jioni As Ports(Djibouti) vs Lydia Ludic(Burundi)

Cliford Mario Ndimbo

Afisa Habari na Mawasiliano,TFF

Juni 30,2018