Msanii wa bongo fleva Young Dee amefunguka na kujibu tuhuma za kuwa aliwahi kumpiga maber lulu wakiwa studio huku sababu kubwa ikiwa ni kwamba Young Dee bado anampenda amber lulu na amekuwa akimuonea wivu kla anapomkuta na mwanaume mwingine hata kama hawana mahusiano.

Amber Lulu ambae alithibitisha hilo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wa habari na kusema kuwa ni kweli waligombana na Young Dee kutokana nawivu wake wa kumkuta akiwa karibu na meneja wake anasema kuwa hata yeye hana mpango wa kutoka tena na young dee kwa sababu alishapi huko siku nyingi.

Alipoulizwa kuhusu swala hilo, young dee alisema

” Mimi na Amber Lulu sio washkaji kwaio hata sitaki kuzingumzia taarifa kama hiyo , mi siwezi kuzungmza kwenye intrview kubwa kama hii nikamzungmzia  nikazungumzia watu ambao  hawanihusu”