PIC%2B3PIC%2B1
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Songoro MarineTransport Ltd, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi – Kigongo mjini Mwanza.
PIC%2B2
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (mwenye suti katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (kulia) wakitoka katika kivuko cha MV Mwanza kinachojengwa na Kampuni Songoro MarineTransport Ltd , kushoto mweny overall ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw. Salehe Songoro mara baada ya kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha MV Mwanza kinachojengwa katika Ziwa Vitoria kwa ajili kutoa huduma katika kivuko cha Busisi – Kigongo mjini Mwanza.