Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Casmir Sumba Kyuki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (UTT AMIS) iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.

Uteuzi wa Kyuki unaanza  July 11, 2018.

Kyuki ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.