Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde

Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu wakiwemo wasichana 30,619 sawa na 95.92% na wavulana 42,247 sawa na 95.23%. Waliopata daraja la kwanza ni 8,168.

Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi ni:– 1.Kibaha

2.Kisimiri

3.Kemebos

4.Mzumbe

5.Feza Boys

6.Marian Boys

7.Ahmes

8. St.Marys Mazinde Juu

9.Marian Girls

10.Feza Girls

Shule 10 zilizofanya vibaya zaidi ni:- 1.Forest Hill,

2.Jang’ombe,

3.Jangwani,

 4. St. James Kilolo

 5.White Lake,

6.Aggrey,

7.Nyailigamba,

8.Musoma Utalii,

9.Ben Bella,

10.Golden Ridge