Msanii Star wa Bongo Movie Jacquiline Wolper mpenzi wa zamani wa Harmonize ameamua kujikita kwenye maswala ya mitindo ya mavazi yaani fashion. hivi sasa ye ni kusaka pesa tu anavyodai Kupitia Kushona Nguo, Hivi karibuni aachia video katika mtandao wa snaptchat akisherekea kwa kufurahia kazi yake hiyo ya designing na kushona nguo za watu…

Hii inamtofautisha kidogo na Mastaa wengi wa kike ambao hawana mbele wala nyuma na kuishia kudanga tu mitandaoni…