Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuliamempongeza Rais mteule wa Zimbabwe, Emmerson Mnangangwa kwa ushindi wa kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika.

Rais Magufuli amempongeza Mnangagwa kupitia ukurasa wake w Twitter. Tume ya uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) ilimtangaza Mnangagwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu baada ya kupata asilimia 50.8 ya kura zote.

Cde. Mnangagwa. On behalf of the Government and people of Tanzania,I convey my sincere congratulations on your victory in the Presidential Election of Zimbabwe.Your victory is a reflection of the confidence reposed in you by the people of Zimbabwe in leading them to prosperity.

Mpinzani wake Nelson Chamisa kutoka chama cha MDC aliyepata asilimia 44.3 ya kura zote.