Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) mkoa wa Kilimanjaro Bw. Julius Mlungwana (kulia), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kushoto), hati ya kiwanja cha Ndege cha Moshi wakati alipokuwa akikagua kiwanja hicho, mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, (kushoto) akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) mkoa wa Kilimanjaro Bw. Julius Mlungwana (kulia), wakati akikagua Kiwanja cha Ndege cha Moshi, mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akikagua barabara ya kuruka na kutua ndege katika  Kiwanja cha Ndege cha Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akikagua barabara ya kuruka na kutua ndege katika  Kiwanja cha Ndege cha Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Muonekano wa sehemu ya barabara ya kuruka na kutua ndege na jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Moshi. Kiwanja hicho kimetengewa kiasi cha Shilingi bilioni moja kwa ajili ya matengenezo ya awali.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.