Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola  akiyasoma majina ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma leo. Lugola aliwataka wajumbe hao wahakikishe wanadhibiti ajali za barabarani nchini. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Jacob Kingu alipokua akifafanua masuala ya usalama barabarani, kabla ya Waziri Lugola kulizindua Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, katika ukumbi wa wizara, jijini Dodoma leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola  akizungumza na wajumbe wa Baraza jipya la Taifa la Usalama Barabarani mara baada ya Baraza hilo kuzinduliwa katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma leo. Lugola aliwataka wajumbe hao wahakikishe wanadhibiti ajali za barabarani nchini. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu.